• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Corona Bado Ipo, Tusijisahau, Tuendelee Kuchukua Tahadhari-Mfune

Tarehe ya Kuanza: June 4th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune, amewataka wakazi wote wa Wilaya ya Mbarali, kuendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Corona kwa kufuata taratibu zote zilizotoleana na Viongozi Wakuu wa Nchi pamoja na Wizara ya Afya  kwani kwa sasa baadhi ya sehemu watu wamejisahau.

Mhe. Mfune ameyasema hayo, siku ya tarehe 03/06/2020 alipokuwa akifungua warsha iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la MBENGONET (Mbeya NGO's Network) kwa ajili ya Kujenga uwezo kwa jamii na kuimarisha mifumo ya Serikali ili kupunguza kasi ya ongezeko la maambukizi ya COVID-19 na kuleta Mabadiliko chanya dhidi ya mila, desturi  na tabia zinazochangia maambukizi katika mkoa wa Mbeya.

Mkuu wa Wilaya amelitaka shirika hilo kufika maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa ya watu kama miji midogo iliyopo barabara kuu ya TANZAM na watakapokuwa wanatoa elimu hiyo wasiwajengee  hofu wananchi, ila wawape ujumbe na kuwaelekeza kuendelea kujikinga na kuchukua tahadhari sambamba na kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kuinua vipato vyao na uchumi wa nchi.

“Watu wengi wanatafsiri vibaya kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli. Mhe. Rais Magufuli hajasema Corona imeisha Tanzania, ila kasema Corona imepungua kwa kiasi kikubwa nchini kwetu. Kuna baadhi ya watu kwenye jamii wanapuuza taratibu za afya zilizowekwa ili kupunguza uwezekeano wa kuenea kwa ugonjwa huu hasa katika sehemu zenye mikusanyiko.”

“Siku hizi tunajikinga na Corona tunapotoka nyumbani kwenda kwenye mihangahiko yetu, ila tunasahau kuzikinga familia zetu pale tunaporudi nyumbani, ni vyema kila mtu akachukua tahadhari kwa kuweka ndoo yenye maji tiririka na sabuni nyumbani kwake.” Alisema Mfune

Naye Katibu Mtendaji wa Shirika la MBENGONETI Ndg. Paul Kita alisema kuwa Shirika limejipanga kwenda kutoa elimu  ya kujikinga na COVID- 19  na kuhamasisha matumizi ya Barakoa na vitakasa mikono kwa waendesha Bodaboda, Madereva wa Bajaji, kwenye minada pamoja na kwenye Mikusanyiko kwa kushirikiana na Wataalamu kutoka Serikalini.

Ndg. Kita aliongeza kuwa baadhi ya watu katika jamii yetu wameanza kukusanyika kwenye baadhi ya maeneo bila kuchukua tahadhari na wamegundua baadhi ya maeneo mengi ni machafu kitu ambacho kitasababisha  magonjwa mengine ya mlipuko kwani kinachoua watu kwa sasa sio Corona pekee hata uchafu na magonjwa mengine

Shirika lisilo la Kiserikali la MBENGONET linajihusisha na Uelemishaji,  Uhamasishaji  na Ushawishi  wa shughuli za maendeleo katika sekta ya afya, kilimo, maji, elimu, Utawala bora pamoja na Haki za binadamu.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DED MPYA AWASILI MBARALI

    June 30, 2025
  • KIKAO CHA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI

    June 16, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAPATA HATI SAFI BAADA YA UKAGUZI WA CAG

    June 17, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MAAFISA WATENDAJI WA HALMASHAURI BAADA YA KIKAO KAZI

    June 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.