• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC Mbarali azitaka Taasisi Kutoa ajira kwa Wahitimu wa Jeshi la Akiba

Tarehe ya Kuanza: November 23rd, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amezitaka Taasisi za Serikali, Taasisi za watu binafsi, Mashirika pamoja wamiliki wa Makampuni mbalimbali ndani ya Wilaya ya Mbarali na maeneo mengine kutoa vipaumbele vya ajira kwa wananchi waliopitia Mafunzo ya Jeshi la Akiba.

Mhe Mfune ameyasema hayo siku ya tarehe 23/11/2020 alipokuwa akihitimisha mafunzo hayo katika kata ya Chimala iliyopo Tarafa ya Ilongo.

“Naendelea kuwasisitiza wale wote wanaotoa ajira ndani ya wilaya yetu na maeneo mengine waendelee kutoa kipaumbele kwa wale ambao wamepitia mafunzo ya Jeshi la Akiba.”

“Tunawaandaa vijana kusaidia ulinzi wa nchi yetu, tunawaandaa vijana ambao watakuwa Jeshi la Akiba chini ya uongozi wa Jeshi la wananchi wa Tanzania, tunawaandaa vijana wenye maadili na Utiifu watakaoshirikina na wananchi katika maeneo tunayotoka kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo.” Mhe. Mfune

Mhe Mfune aliongeza kuwa, Mafunzo ya Jeshi la Akiba yana faida nyingi zikiwemo kuwa chachu ya maendeleo katika maeneo wanayotoka, kusaidia ulinzi wakati  wa matukio muhimu ya kitaifa ikiwemo uchaguzi na mitihani.

Naye Mshauri wa Jeshi la Akiba Wilaya ya Mbarali Capt. K.J Kalinga alisema kuwa mafunzo haya yamejumuisha vijiji 6 vya kata ya chimala na yalianza tangu tarehe 20/07/2020 kwa muda wa miezi 4 na hadi kufikia sasa jumla ya wanafunzi 51 wamehitimu mafunzo hayo kati yao wanaume 40 na wanawake 11.

Akiongea kwa niaba ya wenzake kuptia Risala waliyoiandaa mhitimu wa mafunzo hayo Baraka Mboya ameushukuru uongozi wa Wilaya pamoja na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kwa kuwapa mafunzo hayo kwani wamejifunza mambo mengi ikiwemo ushirikiano, siraha mbalimbali za kivita, ujanja wa porini, mbinu za ukakamavu, usalama wa raia, uhamiaji, zimamoto pamoja na huduma ya kwanza.

Mafunzo ya Jeshi la akiba katika kata ya chimala yamehudhuriwa na watumishi wa Serikali 3 wakiwemo Maafisa watendaji wa Vijiji 2 pamoja na Mwalimu mmoja wa shule ya msingi.

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.