• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DC SURUMBU ATAKA ELIMU NA HAMASA UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE.

Tarehe ya Kuanza: December 24th, 2025



Mkuu wa  Wilaya ya Mbarali, Mhe Brig. Jen. Maulid Hassan Surumbu  amesema utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote inahitaji ushiriki wa wadau wa sekta zote kwa lengo la kuhakikisha wananchi wote wanajiunga na huduma hii ya Bima ya Afya kwa Wote ambayo itachangiwa kwa gharama ya shilingi ShT. 150,000/= kwa kila kaya, huku akisisitiza kuandaa kanzi data ya watu wenye uwezo na wasio na uwezo wa kuchangia fedha hiyo kwa ajili ya Bima.


Akizungumza kwenye Kikao cha Afya ya Msingi Wilaya ya Mbarali (PHC) kilichoketi  leo Jumatano  Disemba 24, 2025 amewaeleza wajumbe wa kikao hicho waende kuitisha  vikao vya Maendeleo ya Kata ili kutoa elimu na ushauri juu ya mpango huo wa Serikali.


"Mtakaporejea kwenye maeneo yenu, vikao vya Kamati ya Maendeleo ya Kata vitaitishwa, tukifika kule tuchangie vizuri, tutoe ushauri mzuri na baada ya hapo tukienda kukutana na wananchi tuwe na elimu ya kutosha ili mwananchi aweze kutoa Sh. 150,000 tuanzishe Mfuko wetu wa Bima ya Afya kwa watu  Wote", amesema Mhe. DC Surumbu.


Akizungumzia faida atakazopata mchangiaji kwa kujiunga na Bima ya afya, Mhe. Surumbu amesema wananchi wote watapata huduma za matibabu mahali popote nchini lakini pia vituo vya kutolea huduma za afya vitakuwa na uhakika wa upatikanaji wa dawa, vifaa tiba, vifaa na vitendanishi na uwepo wa wataalamu wa kutosha na wenye ujuzi.


Aidha Mhe. Surumbu amesema kuwa kwa sasa huduma zimeanza kuboreshwa katika vituo vyote vya afya, zahanati na Hospitali katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali huku akiongeza kuwa zitaboreshwa zaidi pindi zoezi la kuchangia Bima hiyo  likianza kutekelezwa .


Kwa upande wa Mwakilisha wa Ofisi ya Bima ya Afya Mkoa wa Mbeya, Ndugu Nicholaus Frank Mwangomo ambaye ni Msimamizi wa Ofisi ya NHIF Mkoa wa Mbeya amesema,  maboresho makubwa yamefanyika kutoka kwenye ile Bima ya awali na kuanza kwa mfumo mpya wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ambapo Mwananchi atakuwa na uhuru wa kuchagua wapi akatibiwe iwe hospitali binafsi au ya Serikali

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WATUMISHI MBARALI WAHIMIZWA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.

    January 16, 2026
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA MBARALI YARIDHISHWA NA MWENENDO WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 16, 2026
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AHIMIZA WANAFUNZI KURIPOTI SHULE.

    January 14, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAKABIDHI MATREKTA MADOGO YA MKONO KWA MAAFISA KILIMO.

    January 14, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.