• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA WILAYA YA MBARALI YARIDHISHWA NA MWENENDO WA MIRADI YA MAENDELEO.

Tarehe ya Kuanza: January 16th, 2026



Kamati ya siasa Wilaya ya Mbarali ikiongozwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali Ndugu Malanyingi Matukuta aliyemwakilisha Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu imeridhishwa na mwenendo wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ndani ya Wilaya ya Mbarali .


Hayo yamethibitishwa Leo wakati Kamati hiyo ikihitimisha Ziara yake ya siku Mbili ya kukagua Utekelezaji wa ILANI ya Uchaguzi ya chama cha Mapinduzi .


Kwa siku ya Leo januari 16 Kamati imekagua Mradi wa Ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Madibira, Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Igava na Mradi wa vijana wa ufugaji wa samaki wa kikundi cha Zanusi Mkombwe kilichopo Ubaruku


Akizungumza wakati wa Kuhitimisha Ziara hiyo Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mbarali Ndugu Malanyingi Matukuta amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo ndani ya Wilaya ya a Mbarali pia amehimiza Wataalamu kutoka Taasisi zote za serikali na Halmashauri kuhakikisha wanakamilisha Miradi yote kwa wakati ili kuwapunguzia adha Wananchi 


" Sisi kama Kamati ya siasa Wilaya ya Mbarali tumeridhishwa na Jinsi Wataalamu mnavyosimamia Miradi kwa ukaribu lakini tunaelekeza nguvu zaidi iongezeke ili Miradi ikamilike kwa wakati . Ili Wananchi waondokane na adha ya kukosa huduma za kijamii karibu na maeneo yao na niwahakikishie serikali ya awamu ya sita chini ya Daktari Samia Suluhu Hassan itaendelea kutekeleza yote iliyoahidi kwenye ILANI ya Uchaguzi"


Katika Ziara hiyo Kamati ya siasa Wilaya ya Mbarali iliongozana na Makamu mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Chuki Jeremia Mbwanjine aliyemwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bi Glory Komba pamoja na wataalam ngazi ya Halmashauri na Taasisi za serikali kama RUWAS

A na TARURA.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WATUMISHI MBARALI WAHIMIZWA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.

    January 16, 2026
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA MBARALI YARIDHISHWA NA MWENENDO WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 16, 2026
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AHIMIZA WANAFUNZI KURIPOTI SHULE.

    January 14, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAKABIDHI MATREKTA MADOGO YA MKONO KWA MAAFISA KILIMO.

    January 14, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.