• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MBARALI AHIMIZA WANAFUNZI KURIPOTI SHULE.

Tarehe ya Kuanza: January 14th, 2026



Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu amewataka wazazi wote kuhakikisha watoto wao waliofikisha umri wa kujiunga na darasa la awali na darasa la Kwanza kuhakikisha wanawapeleka watoto hao Shule ili kujiunga na masomo yaliyokwisha Anza toka tarehe 13 januari mwaka huu pia amewataka wanafunzi wote waliopangiwa kujiunga na kidato cha Kwanza mwaka huu kuhakikisha wanajiunga na Shule waliopangiwa ndani ya siku 14 ili kuendelea na masomo yaliyokwisha Anza.


Hayo ameyazungumza wakati wa Ziara aliyo fanya Leo januari 14 ya kukagua Miradi Mbalimbali ya Maendeleo ndani ya Wilaya ya Mbarali.


Akizungumza wakati wa Ziara hiyo Mheshimiwa Surumbu amesema tayari Shule zimefunguliwa Madarasa yapo na hakuna upungufu wa Madawati Wala viti hivyo hakuna sababu za kuendelea kuwabakiza wanafunzi nyumbani


"Kwa wale wenye watoto ambao hawajaripoti Shule mpaka sasa nitoe Rai kwa Viongozi wa Vitongoji,Vijiji , Tarafa pamoja hata Wilaya kuhakikisha kwamba ndani ya wiki mbili kuhakikisha watoto wenye umri unaoruhusu kuanza Shule waanze mara Moja na waliopangiwa kujiunga na kidato cha Kwanza waripoti Madarasa yapo tayari, Madawati yapo hivyo wafike kuanza masomo"


Sanjari na hilo Mheshimiwa Surumbu amekagua Ujenzi wa Madarasa mawili Shule ya Msingi Rujewa,  Shule ya sekondari Rujewa,Shule Mpya Madibira na Ujenzi wa Madaraja mawili kwenye mto Guha Kata ya Mawindi


Mkuu huyo wa Wilaya aliongozana na Afisa Elimu sekondari Wilaya, Afisa Elimu Msingi Wilaya, Mhandisi wa Wilaya  na Meneja TARURA Wilaya ya Mbarali.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • WATUMISHI MBARALI WAHIMIZWA USHIRIKIANO KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO.

    January 16, 2026
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA MBARALI YARIDHISHWA NA MWENENDO WA MIRADI YA MAENDELEO.

    January 16, 2026
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AHIMIZA WANAFUNZI KURIPOTI SHULE.

    January 14, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI YAKABIDHI MATREKTA MADOGO YA MKONO KWA MAAFISA KILIMO.

    January 14, 2026
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.