• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Marufuku Kufanya Mikutano ya Hadhara- Mfune

Tarehe ya Kuanza: March 17th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Reuben Mfune amepiga marufuku kufanyika kwa mikutano yote ya hadhara ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuepukana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa wananchi wote wa wilaya ya Mbarali.

Mhe. Mfune amepiga marufuku hiyo siku ya tarehe 17/03/2020 kwenye mkutano aliouitisha kwa ajili ya kupeana Elimu na kuongeza uelewa juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa taasisi na mashirika aliyoyaarika katika ukumbi wa Polisi ulipo Kata ya Rujewa.

“OCD kuanzia leo nakuagiza kutotoa kibali cha aina yoyote kwa ajili ya mikusanyiko ya mihadhara. Sitaki kuona mihadhara ya aina yoyote wilayani kwetu mpaka pale tutakapotangaza. Kwa viongozi wa dini na waumini waataendelea kusali katika ibada zao za kawaida lakini sio mihadhara.”

“Mhe. Rais ametaangaza kuahirishwa kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru mpaka pale itakapotaangazwa vinginevyo, Mkurugenzi wa Halmashauri na mganga mkuu nawataka fedha tulizokuwa tumeziandaa kwa ajili ya Mbio za Mwenge wa Uhuru tuzitumie kununua vifaa kwa ajili ya kujikinga na Corona na viwekwe kwenye taasisi mbalimbali zikiwemo pale Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Halmashauri." Alisema

Mhe. Mfune amegiza dawa zote za kinga za kuweka kwenye maji ya kunawa mikono ziuzwe kwa bei nafuu kwenye duka la dawa la Serikali ili kurahisisha upatikanaji wake.

Vilivile Mkuu wa Wilaya ameagiza kutolewa maelekezo ya kuwepo kwa vifaa maalumu ikiwemo vyombo vya kunawia maji yanayotiririka kwenye taasisi mbalimbali na mikusanyiko pamoja na kutolewa kwa elimu kwenye misiba na amekataza misiba hiyo kuchukia kipindi kirefu hadi siku ya mazishi na kusisitiza kuwa mazishi yakishafanyika watu watawanyike wabakie ndugu wa karibu tu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbarali Ndg. Hashim Mwalihawa alisema kuwa elimu na uangalizi inapaswa kufanyika kwa nguvu katika maeneo ya starehe hususani kwenye maeneo ya vileo kwa kuwa watu wengi mara baada ya kutumia pombe hujisahau na kudharau maelekezo wanayopewa ya kujikinga na maradhi.

Aliongeza kwamba kupitia hali hiyo ni rahisi kwa watakaopata maambukizi kuyapeleka na kuyasambaza kwenye jamii mpaka majumbani mwao kitu ambacho kitahatarisha afya za familia zao.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Dkt. Godfrey Mwakalila alisema kwamba, yapo maeneo tayari yameshatengwa kwa ajili ya watu watakaoshukiwa kuwa na maambukizi ya corona wakati taratibu za kusafirisha sampuli kwa ajili ya vipimo zikiendelea.

Dkt Mwakalila amesisitiza umuhimu wa kuchukua tahadhari ya maambukizi kwa wanajamii kuwa mbali na washukiwa wa maambukizi akisema hata kama wanawapenda sana ndugu zaao ni muhimu watu kutambua kuwa dunia inapita katika kipindi kigumu na kinacholazimu kila mmoja kuchukua tahadhari.

Mkutano huo wa kutoa elimu na tahadhari ya ugonjwa wa corona umewajumuisha Viongozi wa dini, Kamati ya siasa wilaya ya Chama Cha Mapinduzi, Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Idara wa Halmashauri, Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, NGO’s, Wazee Maarufu, Viongozi wa Wafugaji na Wakulima, Vyama vya siasa, Viongozi wa Taasisi mbalimbali wakiwemo, TANAPA, TAWA, TFS, TRA, RUWASA, TARURA, CRDB na NMB

Mwisho


Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.