• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Rudisheni Mikopo kwa wakati ili na wengine wanufaike-Twalib

Tarehe ya Kuanza: January 19th, 2021

Hayo yamesemwa na Mwenyekeiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mhe.Twalib Tamimu Lubandamo alipokuwa akikabidhi Trekta za Mikono (Power Tiller), Pikipiki pamoja na Pikipiki aina ya Guta ambavyo vimetokana na asilimia asilimia 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri zinazotolewa kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na watu wenye Ulemavu kwa kipindi cha robo ya pili 2020/2021 siku ya tarehe 19/01/2021.

Mhe. Twalib alisema kwambwa historia ya ulejeshaji wa mikopo kwa Mbarali upo chini sana, Halmashauri imeandaa mkakati wa kuvifuatilia vikundi vyote vilivyonufaika na mikopo hio ili vikuni vingine viweze kunufaika.

“Vikundi vilikuwa ni vingi vilivyoomba mikopo, tumeanza na ninyi kutokana na pesa tulizokuwa nazo. Tumewapa mikopo hii mkiwa mnafurahi, tunaomba mmalize mkiwa nmafurahi ili msije baadae mkanuna”

“Hii mikopo mnapata kama bure, haina riba hata moja, na kwa sababu nyie mmeshikliia pesa za vikundi vingine tunawaomba ule muda ambao tumekubaliana muweze kurejeshe hizo pesa ili na vikundi vingine viweze kunufaika kama mlivyonufaika ninyi”. Alisema Mhe. Twalib.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Daniel Kamwela alisema kwamba, kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020-2021 kiasi cha million 212 ambazo ni asilimia 10% ya mapato ya ndani kwa kipindi cha Julai hadi Desemaba zimeweza kutolewa kwa vikundi vya wanawawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa asilimia 100%

Ndg.Kamwela aliongeza kuwa, fedha hizo zimegawanywa kwa vikundi 5 vya wanawake vyenye wanufaika 91, vikundi 10 vya vijana  vyenye wanufaika 132 pamoja na vikundi 4 vya watu wenye ulemavu vyenye wanufaika 24.

Naye Afisa vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Ndg. Christus Mwageni aliongeza kuwa kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2020/2021 Halmashauri imefanikiwa kutoa kiasi cha shilling milioni 99,500,000 ambapo pesa hizo zote zimetumika kununulia Trekta za mikono 2 ambazo zimetolewa kwa vikundi vya wanawake, Trekta 5 za mkono, Pikipiki 5 pamoja na Guta moja ambavyo vyote vimetolewa kwa vikundi vya  Vijana 5.

Ndg. Mwageni aliongeza kuwa,  zoezi la utoaji wa vifaa kazi  umekuwa ni bora zaidi kwani unaleta ufanisi kwenye vikundi, vilevile eneo la Mbarali ni eneo la kilimo, vifaa hivyo vitawawezeza kufanya shughuli zao badala ya kushinda vijiweni na wameamua kutoa vifaa sababu baadhi ya vikundi vikipewa pesa vinakwenda kugawana badala ya kutimiza malengo waliyojiwekea.

Wakiongea kwa niaba ya wenzao bwana Seif Mohamendi na Bi. Asia Shaibu wameishukuru Serikali kwa kuwawezesha vitendea kazi hivyo na wameahidi kuvitumia vizuri vifaa walivyokabidhia ili waweze kurejesha fedha walizokopa kwa muda uliopangwa ili vikundi vingine viweze kunufaika

MWISHO

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.