• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI KUTIA NGUVU UJENZI WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA, MAJI

Tarehe ya Kuanza: October 2nd, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali  Mhe. Reuben Mfune amewataka wananchi wote wa wilaya ya Mbarali kuanzisha ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za afya katika maeneo yao ili serikali iweze kuongeza Nguvu.

Ameyasema hayo siku ya tarehe 01/10/2019 kwenye maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kiwilaya katika kata ya imalilo songwe.

“Kuhusiana na suala la maji, serikali ya awamu ya tano, imeunda wakala wa maji vijijini kwa ajili ya kufanyia kazi kwa kina tatizo la maji, tuwe na subira kidogo, mambo mazuri yanakuja na kuhusiana na huduma za afya, anzisheni ujenzi wa vituo hivyo ili serikali ije iongeze nguvu, kwani serikali haiwezi kufanya kila kitu.”

Katika maadhimisho hayo Mhe. Mfune alisema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa wazee waliopo  katika maeneo mengi ya nchi kwani wazee ni watu muhimu katika maendeleo ya nchi yetu,  Wazee ndio waliojenga misingi bora kabisa tunayoiona hivi sasa.

Aliongeza kuwa, Serikali imekuwa ikitoa gawio la fedha kupitia mradi wa TASAF kwa ajili ya kujikimu katika maeneo mbalimbali,  kuna baadhi ya wazee wanatumia fedha hizo  kuanzisha miradi, kama ujenzi wa nyumba, ufugaji kwa ajili ya kuboresha maisha yao, na wengine wamezitumia kusomesha watoto.

Katika Risala yao iliyosomwa na Katibu wa Baraza la Wazee Wilaya, Ndg. Hezron Kapwela alisema kuwa  maeneo mengi hayana hospitali, vituo vya afya wala zahanati kitu kinachosababisha  wazee kutembea umbali mrefu, Maeneo mengi hayana huduma za maji safi na salama pamoja na Wazee  wanufaika  malipo ya TASAF hawajapewa malipo ya fedha toka mwezi Machi, 2019 mpaka leo hii. 

Kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya wazee mwaka 2019 ni “TUIMARISHE USAWA KUELEKEA MAISHA  YA UZEENI”

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • DC MBARALI UFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KATA YA ITAMBOLEO

    May 22, 2025
  • ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA MBARALI KUJIFUNZA BIASHARA YA HEWA YA KABONI

    May 22, 2025
  • ZIARA KAMATI YA SIASA YA MKOA WA MBEYA WILAYANI MBARALI

    May 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI

    May 16, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.