• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBARALI YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO LENYE THAMANI YA BILIONI 1.5.

Tarehe ya Kuanza: December 8th, 2025



Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Mbarali limepokea gari jipya la Zimamoto lenye  thamani ya shilingi bilioni 1.5  kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Leo Desemba 08, 2025.


Gari hilo limekabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Mhe. Brig. Jen. Maulid Hassan Surumbu kutoka Kwa Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya, Malundo Ngata amesema kuwa gari hilo litataua changamoto ya ukosefu wa huduma hiyo ambapo awali ililazimika kutegemea huduma ya zimamoto kutoka ofisi ya Zimamoto Mkoani.


"Tunamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea gari la kisasa lenye thamani ya bilioni 1.5, tuna jukumu la kulitunza na jeshi la Zimamoto Kwa kushirikiana na Katibu Tawala wa Wilaya kujenga eneo la kuliegesha ndani ya siku 14", Amesema Mhe. Brig. Jen. Surumbu.


Naye Kamanda wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya, Malumbo Ngata akikabidhi gari hilo kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali amesema kuwa gari hilo limeletwa Kwa lengo la kutatua changamoto ya ajali za moto.


"Tumeleta gari hili Wilaya ya Mbarali ili muweze kutatua changamoto ya kukabiliana na moto pale inapotokea ajali,  tumefanya hivyo kwa sababu tunatambua Mbarali inapitisha magari mengi ya mizigo na ajali huwa zinatokea mara kwa mara, hivyo mtambo huu tumeuleta huku ili kuokoa maisha ya wananchi wa Mbarali na Watanzania wote kwa ujumla", amesema Ngata, Kamanda wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKAGUA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RUJEWA.

    December 11, 2025
  • MBARALI YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO LENYE THAMANI YA BILIONI 1.5.

    December 08, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.