• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKAGUA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RUJEWA.

Tarehe ya Kuanza: December 11th, 2025

 


Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mheshimiwa Brigedia Jenerali Maulid Hassan Surumbu amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa maji wa Miji 28 Rujewa unaotekelezwa kwa ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya India wenye thamani ya bilioni 50 unaotarajiwa kukamilika mwezi February 2026. 


Mradi huo uliopo kwenye kata ya Lugelele unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wananchi laki tatu kwenye kata ya Lugelele na Rujewa kwa upande wa Wilaya ya Mbarali lakini pia utanufaisha Miji ya Wanging'ombe na Makambako kwa upande wa Mkoa wa Njombe.


Akizungumza katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Brig. Jen. Maulid Hassan Surumbu amehimiza mkandarasi wa mradi kuongeza kasi ili uweze kukamilika kwa wakati.


"Wilaya ya Mbarali tumebahatika kupata mradi huu unaoenda kumaliza shida ya maji kwa wananchi wa Mbarali ambapo kwa awamu ya kwanza kata zitakazonufaika ni kata za Lugelele na Rujewa ambazo kwa sasa zinapata maji kwa asilimia 45 tu, mradi huu utakapokamilika February 2026 wananchi wa kata hizo watapata maji kwa asilimia 85. Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza uhusiano wa Tanzania na nchi ya India pia tunashukuru kwa kuhakikisha pesa za kumalizia mradi huu zinafika ", amesema Brig. Jen. Surumbu.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Rujewa, Mhandisi Lestus Linda amesema kukamilika kwa Mradi huu utasaidia wananchi kupata maji safi na salama na kumaliza kabisa tatizo la maji kwa wananchi wa Lugelele na Rujewa.


"Kukamilika kwa Mradi huu utasaidia wananchi kupata maji safi na salama ambayo hayatakuwa na vumbi la maji kama ilivyo sasa pia uzalishaji wa maji utaongezeka na kutatua hali iliyopo sasa na ninawahakikishia maji yatapatikana kwa saa 24 kila siku ", amesema Mhandisi Linda.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKAGUA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RUJEWA.

    December 11, 2025
  • MBARALI YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO LENYE THAMANI YA BILIONI 1.5.

    December 08, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.