• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Mbarali District Council
Mbarali District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhimira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Uchumi Mipango na Takwimu
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo
      • Elimu ya Sekondari
      • Afya
      • Maji Vijijini na Taka Ngumu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu ya Sekondari
    • Huduma za Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
      • Kata ya Mahongole
      • Kata ya Ruiwa
      • Kata ya Imalilosongwe
      • Kata ya Igurusi
      • Kata ya Itamboleo
      • Kata ya Mwatenga
      • Kata ya Kongolo Mswisi
      • Kata ya Mawindi
      • Kata ya Luhanga
      • kata ya Madibira
      • Kata ya Utengule Usangu
      • Kata ya Igava
      • Kata ya Rujewa
      • Kata ya Mapogoro
      • Kata ya Ipwani
      • Kata ya Miyombweni
      • Kata ya Ubaruku
      • Kata ya Lugelele
      • Kata ya Chimala
      • Kata ya Ihahi
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Time Tabe
      • Ratiba ya vikao vya wah.Madiwani
      • Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
      • Muongozo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mikakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu
      • Fomu za Maombi
    • Miongozo
    • Machapisho
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

Tarehe ya Kuanza: December 11th, 2025



Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Ndugu Raymond Mweli amekabidhi hati 12 za kumiliki rasmi  maeneo kwa Wakuu wa Shule za Msingi waliopima na kurasimishwa maeneo yao leo Desemba 12, 2025.


Hati hizo zimekabidhiwa Kwa Shule za Msingi 12 ambazo ni Mayota, Matebete, Mambo, Ibohera, Chosi A, Kapunga, Msesure, Motomoto, Kanioga, Ruiwa, Miyombweni na Kapunga B.


Hati hizo za Umiliki rasmi wa maeneo zimetolewa kwa Shule hizo ambazo maeneo hayo yalipimwa na Kurasimishwa Kwa vijiji kupitia program ya Uramishaji maeneo ya Taasisi za Serikali unaofanywa na Idara ya Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.


 Akikabidhi hati hizo Ndugu Raymond Mweli amesema  kuwa Kwa kipindi chake atahakikisha maeneo yote ya Taasisi za Serikali yanafanyiwa Urasimishaji wa maeneo ili kuondoa  migogoro ya Ardhi ambayo hujitokeza katika maeneo mbalimbali.


"Nataka maeneo yote ya watu binafsi na Taasisi yawe na hatimiliki na tunaamini kupitia mpango huu hatutakuwa na migogoro ya Ardhi tena Mbarali hivyo basi hati hizi mkazisimamie na kuendeleza maeneo hayo", amesema Ndg. Raymond Mweli.

Matangazo

  • UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, NOVEMBA 27,2024 October 20, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 17, 2024
  • MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI 2018_2019- 2022_2023 June 08, 2022
  • MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELO KIASI CHA SHILINGI 1,010,267,500.00 March 13, 2021
  • Tazama

Taarifa Mpya

  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • SHULE ZA MSINGI 12 ZAPATIWA HATI ZA UMILIKI RASMI WA MAENEO.

    December 11, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MBARALI AKAGUA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RUJEWA.

    December 11, 2025
  • MBARALI YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO LENYE THAMANI YA BILIONI 1.5.

    December 08, 2025
  • Tazama

Video

MBUNGE MBARALI ATOA MILINI 120 KWA AJILI YA SARE WANAFUNZI WOTE WALIOFAURU KIDATO CHA KWANZA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Google
  • SAIRLA TANZANIA DASHBOARD
  • EPISOD002- ELIMU KWA WANANCHI JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA TAUSI PORTAL
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU
  • MKURUGENZI MWELI AAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA WATENDAJI WALIOSITAFU

Tovuti Mashuhuri

  • RAS Mbeya Web Site
  • Serikali Mtandao
  • TAMISEMI
  • Salary Slip Portal

Ramani kwa wasafiri

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    Rujewa Road 3 km from main Road: Then Drive Mkurugenzi road. 1

    Sanduku la Posta: 237 Rujewa Mbeya

    Simu ya Mezani: 252957440/252957447

    Mobile: +255784 906 216

    Barua Pepe: ded@mbaralidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Copyright ©2021 GWF . All rights reserved.